Car Wash Brush
Car Wash Brush
Car Wash Brush
Car Wash Brush

Car Wash Brush

Regular price
99,000.00 TZS
Sale price
79,000.00 TZS
Unit price
per 
Shipping calculated at checkout.

SIFA ZAKE:
JALI USAFI WA GARI LAKO POPOTE ULIPO.OKOA GHARAMA ZA KWENDA CAR WASH.SAFISHA GARI NA HII BRUSH KWA SABUNI KISHA TUMIA PIPE YAKE KUSUUZA

✅Hai haribu rangi ya gari.Brush hii ni special kwa magari

✅Haitumii Umeme Kama Washer Zingine.Presha Ya Maji tu Inatosha

✅Ni Rahisi Ku unganisha na Unaweza Kuibeba Kwenda nayo popote

✅Ina sehemu ya kuwekea Sabuni ili itoke muda wa Kuosha Gari

✅Ukitoa Brush Unaweza Tumia kama Pressure washer itoe maji tu kwa ajili ya kusuuza

⚠ Kumbuka Utalipa Baada Ya Kupokea Mzigo Hata Kama Upo Mikoani
DESCRIPTION:
Automaticly Rotate: 360 degreee freely rotate, no need electricity, it rotates by water power, suitable for faucet outer diameter 16-18mm/0.63-0.71inch.

High-pressure Washing: Remove the brush head and it will increase hydraulic pressure.

No Scratches: Soft chenille brush and bristles will not leave a mark, make sure a deep clean without scratching your vehicle’s

Widely use: suitable for use on cleaning vehicle, boat, windows, glass and more. And it also can be used sprinkling tool.

Automatic Foaming: 250ml transparent solvent pot, automatic foaming, water out, add detergent and cleaning liquid when using, and clean more thoroughly.
Specification:
Product size: length 100cm/39.37inch
Material: PP chenille
Package Includes:
1 Set Rotary Wash Brush Kit