BEGI LA KIPEKEE ZAIDI TANZANIA

Kusafiri Ni Jambo Muhimu Sana Na Heri.Ila Wengi Hili Tukio Linakua Gumu Pale Wakati Wa Ku Pack Vitu Kwenye Begi Kitu Kinachofanya Wengi Wetu Kupata Stress Sana Kabla Ya Kusafiri.Tumekuletea Begi ambalo litakutatulia matatizo Yako Ya Ku Pack wakati Wa Kusafir.Sifa zake ni kama zifuatazo:

1.LINAWEZA KUKUNJIKA NA KUFUNGUKA

Bag Hili Linaweza Kufunguka Na Kuwa Kubwa Katika Ujazo Wa Lita 45.Na Unaweza Likunja Likawa Dogo Na Kutosha Kwenye Mfuko Mgumu wa Size Ya A3

 

2.LINA  UWEZO WA KUWEKA SUTI

Ndani Ya Begi Kuna Zipu Special Ambayo Ukiifungua Unaweza Kuweka Koti Lako La suti.Namna Hii Inakuwezesha Kuweka Vitu Vyako Kwa Utulivu Zaidi.

 

3.Lina Uwezo Wa Kuweka Viatu

Bag Hili Lina Sehemu Special Ya Kuweka Pair Moja Ya Viatu Kwa Pembeni.Viatu Hua Vinaumiza Sana Kichwa Wapi Kwa Kuviweka Kwenye Begi.Ila Begi Hili Limetatua Tatizo Hilo!

 

4.Linazuia Maji(Water Resistant)

Begi Hili Limetengenezwa Kwa Material Ambayo Yanafanya Isiwe Rahisi Kwa Maji Kupenya.

5.Lina Mfuko Ambao Hauingizi Maji(Waterproof) Kwa Ajili Ya Vimiminika

Begi Hili Lina Mfuko Kwa Pembeni Kwa Ajili Ya Kuwekea Vifaa Kama Dawa Na Vingine Vyenye Maji Maji Ambavyo Hutaki Zichanganyane Na Nguo Kwani Kuna Uwezekano Wa Kumwagika Na Kuchafua Nguo Zako Zote

 

 NAMNA YA KUNUNUA HILI BEGI

Waweza Kwenda Kwenye Website Yetu Moja Kwa Moja Na Kununua Kwa Kubonyeza Link Hii 👉 https://cocotz.com/products/foldable-bag

Au waweza kupiga simu au whatsapp 0758 400 300.Utalipia Ukishaupata Mzigo uwe dar au mkoan.Kwa wateja wa dar usafir ni bure!